Monday, February 27, 2012

Tutakufanyia shopping hadi bajeti ya 50,000/- kwa wiki

 Hapa tukikagua bidhaa za mteja wetu kabla ya kuosha na kupaki (huyu bajeti yake ni 50,000/= kwa wiki)
 Tukimfanyia shopping ya groceries
Packing

4 comments:

Rachel Siwa said...

Kazi nzuri,nimewakubali!

Anonymous said...

naombeni mniandikie list ya Tshs.50,000 kwa wiki mliyoonyesha hapo kwakua sijalewa ina jumuisha groceries staff ni hivyo hapo mezani tuu.

Anonymous said...

kwa hiyo mtu akifanya shopping ya laki moja, anawalipa elfu 20?!!!!

Anonymous said...

hello,

nataka kuanza diet please do call me maana namba zenu sijui nizipate wapi.

and plz ficha hii namba yangu 0766697889.