Tutumie listi yako na tutakununulia bidhaa bora kwa bei nafuu na kukuletea nyumbani kwako! lipa iwapo tu umeridhika na bidhaa.
im glad to be your first customer! mko vizuri, nimepata vitu vya sokoni vikiwa safi na vyote vinaafya! yaani all I did nikuweka kwenye fridge
Hi!!Nimependa hiyo huduma yenu mnayoitoa na nataraji kuwa mteja wenu mzuri...Hivi hiyo shopping ya vitu vya elfu 50,000/= mlivyovionesha hapo juu vina jumuisha mezani na Groceries?Nasubiri jibu lenu tafadhali..
Post a Comment
2 comments:
im glad to be your first customer! mko vizuri, nimepata vitu vya sokoni vikiwa safi na vyote vinaafya! yaani all I did nikuweka kwenye fridge
Hi!!Nimependa hiyo huduma yenu mnayoitoa na nataraji kuwa mteja wenu mzuri...
Hivi hiyo shopping ya vitu vya elfu 50,000/= mlivyovionesha hapo juu vina jumuisha mezani na Groceries?
Nasubiri jibu lenu tafadhali..
Post a Comment